Makocha wa Man U. waendesha kliniki ya soka nchini
Wakufunzi wa soka la Vijana kutoka Klabu ya Manchester United wakiwa katika uwanja wa Azam Complex Chamazi DSM
Kliniki maalum ya mafunzo kwa vijana wa Aitel Rising Stars inayoendeshwa na makocha kutoka klabu ya Manchester United…imefanyika leo katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi.