Aliyeokoa abiria wa ndege apekekwa Jeshini
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza kijana Majaliwa (mvuvi) aliyeshiriki kuokoa abiria kwenye ajali ya dege Bukoba akabidhiwe kwa Waziri wa mambo ya ndani na atafutiwe nafasi kwenye jeshi la uokozi ili kijana huyu apate mafunzo zaidi ya ujasiri zaidi