Mbunge ataka muswada wa kuzuia maandamano Kenya
Mwakilishi wa Wanawake wa Nairobi Esther Passaris amependekeza kuwepo kwa muswada mpya ambao kwa mujibu wake anataka kuanzia sasa kusiwepo na mkutano wa hadhara au maandamano ndani ya eneo la mita 100 kutoka Bunge, vyumba vya mahakama na maeneo yaliyoteuliwa chini ya Sheria