DC Chato awata vijana kupunguza kunywa pombe
Mkuu wa wilaya ya Chato Martha Mkupasi amewataka vijana wilayani humo kupunguza matumizi ya Pombe ili kujiepusha na hatari ya kukumbwa na magonjwa ya Moyo na shinikizo la damu kwa sababu ni moja ya kisababishi vya magonjwa hayo