Watu 19 wafariki ajali ya Precision Air Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza uchunguzi ufanyike ili kubaini watu wawili wanaozidi kwenye idadi iliyoainishwa mwanzo kuwa ndege ilikuwa na watu 43. Read more about Watu 19 wafariki ajali ya Precision Air