DED mstaafu Geita kuendelea kusota Gerezani
Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Geita Leonidas Felix (Pichani) amesema Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Geita imemfutia dhamana aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya mji Geita Magret Nakahinga na badala yake ataendelea kusikiliza kesi yake akiwa Gerezani