Bodi ya mikopo yaanza kuhojiwa bungeni

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeitikia wito wa Bunge uliotolewa na Spika wa Bunge wa kuwataka wafike kwenye Kamati ya Kudumu ya Huduma za Maendeleo ya Jamii ili kujieleza kwanini hawataki kusikiliza maelekezo ya Serikali katika utoaji wa mikopo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS