Ndege ilikuwa na watu 43, 26 waokolewa - RC Kagera Zoezi la uokoaji likiendelea Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila, amesema ndege ya Precision Air iliyoanguka leo asubuhi ndani ya Ziwa Victoria Bukoba Kagera, ilikuwa na jumla ya watu 43. Read more about Ndege ilikuwa na watu 43, 26 waokolewa - RC Kagera