Bodaboda Zatajwa Kuwasuluhisho la Ajira kwa Vijana Licha ya kusababisha ajali na madhara makubwa kwa watumiaji wake, biashara ya pikipiki maarufu kama bodaboda imetajwa kuwa suluhisho la ajira kwa idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania. Read more about Bodaboda Zatajwa Kuwasuluhisho la Ajira kwa Vijana