Z Anto aeleza yaliyomkuta Kenya

Msanii wa Muziki Z Anto, ambaye ametokea huko Kenya kwa ajili ya kufanya shoo iliyokosa wahudhuriaji, ameibuka na kulitolea ufafanuzi suala hili ambalo linaweka rekodi mbaya kabisa katika historia ya muziki wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS