TCRA imevipongeza vyombo vya habari vya IPP

Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imevipongeza vyombo vya habari vya IPP kwa kuwa na mfumo mzuri wa kusimamia utendaji kazi wa shughuli zake za kila siku unaozingatia maadili ya utangazaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS