Simba bado wajipa matumaini ligi kuu
Uongozi wa klabu ya soka ya Simba umesema kuwa bado haujakata tamaa yakuwania nafasi mbili za juu katika ligi kuu ya soka Tanzania bara japo timu hiyo bado iko nyuma kwa pointi 11 dhidi ya vinara wa ligi hiyo Azam fc