Sappy na Nazizi washikaji tu Kufuatia sakata la msanii Nazizi kuripotiwa na vyombo mbalimbali kuachana na mume wake na kuanzisha mahusiano mapya na mtayarishaji muziki kutoka Tanzania Kheri Sappy, wawili hawa wamekanusha na kusema ni uzushi mtupu. Read more about Sappy na Nazizi washikaji tu