Rapa TakeOff auwawa kwa kupigwa risasi

Picha ya msanii TakeOff

Kwa mujibu wa baadhi ya vyombo vya habari mbalimbali nchini Marekani vimeripoti taarifa ya Rapa wa kundi la Migos TakeOff ameshambuliwa kwa kupigwa risasi na kufariki dunia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS