Tanzania yaongoza kwa Nyati wengi Afrika

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana ametangaza matokeo ya sensa ya wanyamapori iliyofanyika mwaka huu ambapo Tanzania inatajwa kuongoza kwa idadi  kubwa ya nyati Barani Barani Afrika kwa kuwa na jumla ya nyati 191,805

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS