"Ambao hawajapata mkopo wapokelewe vyuoni" - Bunge
Bunge limeazimia kwamba wanafunzi wote wenye vigezo vya kupata mikopo na hawajapata mikopo mpaka sasa, serikali iangalie utaratibu mzuri wa kuwawezesha wanafunzi hawa kupokelewa vyuoni ili waendelee na masomo yao wakati serikali ikitafuta fedha kwa ajili ya mikopo.