Wakali wa mashairi kuchapisha pamoja

Waandishi wakubwa na wakongwe wa mashahiri kutoka Nigeria, akiwepo Profesa Wole Soyinka, Uzor Maxim Uzoatu, Obari Gomba na Ikeogu Oke, wamechaguliwa kutumia kazi zao kwa ajili ya kuchapishwa katika kazi kubwa kabisa ya ushahiri duniani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS