Tarimba ataka bodaboda hawa wakamatwe
Mbunge wa jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba, ameiomba serikali kutoa tamko rasmi kwamba dereva yeyote wa bodaboda atakayepita kwenye taa nyekundu, maeneo ambayo yamezuliwa na hata kubeba mishikaki akamatwe na kuchukuliwa sheria.