Mtoto wa Davido na Chioma afariki dunia

Picha ya pamoja ya Davido, Chioma na mtoto wao

Staa wa mziki Africa Davido na mpenzi wake Chioma wamempoteza mtoto wao wa kiume mwenye miaka mitatu Ifeanyi baada ya kufariki dunia ndani ya 'Swimming pool' ya familia huko Lagos Nigeria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS