Shahidi kesi ya Zumaridi asahaulika gerezani
Kesi namba 10 inyomkabili Diana Bundala Maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake 8 imeshindwa kuendelea leo katika Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Mwanza kutokana na Shahidi namba sita ambae pia ni mshtakiwa katika kesi hiyo Suzana Simon kutoletwa Mahakamani hapo