Aliyedaiwa kutekwa Songwe anashikiliwa na polisi

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini SACP David Misime,

Jeshi la Polisi nchini limekanusha taarifa za upotoshaji zilizodai kuwa Joshua Mkandi wa mkoani Songwe alitekwa na jeshi hilo na badala yake mwanaume huyo alikamatwa na Askari Polisi pamoja na wenzake 12 kwa tuhuma za unyang'anyi wa kutumia silaha na wizi wa pikipiki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS