Matokeo ya Sensa kujulikana kesho

Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule

Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amewahimiza wananchi kujitokeza katika uzinduzi wa matokeo ya mwanzo ya Sensa ya Watu na Makazi, utakaofanyika kesho Oktoba 31, 2022. Matokeo hayo ya sensa yatazinduliwa na Rais Samia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS