Wafanyabiashara DRC watembelea miradi Tanzania

Wafanyabiashara kutoka nchini DRC wakitazama mradi wa SGR nchini Tanzania

Jumla ya wafanyabaishara wapatao 40 kutoka Nchini DRC wameitembelea miradi mbalimbali ya kimkakati Nchini Tanzania kwa lengo la kuangalia fursa mbalimbali za kiuwekezaji na usafirishaji kupitia ushoro wa kati.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS