Bilioni 8 zatengwa kusomesha madaktari bingwa

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amesema kuwa serikali imetoa shilingi Bilioni 8 kwaajili ya mafunzo wa ubingwa na ubingwa bobezi kwa watumishi wa umma katika sekta ya afya ili kuondokana na upungufu wa madaktari bingwa ndani ya nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS