P Diddy kuikwepa miaka 20 Jela?

Rapa mashuhuri na mwanzilishi wa lebo ya Bad Boy Records, Sean "Diddy" Combs, amepatikana na hatia kwa makosa mawili ya kusafirisha watu kwa ajili ya kufanya ukahaba katika uamuzi uliotolewa na majaji baada ya kesi ya wiki nane iliyohusisha mashahidi 34.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS