Moto waunguza mlima Longonot nchini Kenya Mlipuko wa moto umeteketeza hekta za vichaka katika mlima Longonot nchini Kenya, ambao ni maarufu kwa wapanda milima katika eneo la Bonde la Ufa. Read more about Moto waunguza mlima Longonot nchini Kenya