Polisi kuwakamata watakaokeketa wasichana Tarime Afisa Ushirikishwaji Jamii Tarime Rorya, SP Daud Ibrahim Jeshi la Polisi Mkoa wa Polisi Tarime, Rorya limesema kuwa limejipanga kwa ajili ya kuchukua hatua kali dhidi ya wananchi watakaojiusisha na suala la ukeketaji kwa wasichana. Read more about Polisi kuwakamata watakaokeketa wasichana Tarime