Viongozi wa dini watakiwa kutoa elimu ya Ebola

Askofu mkuu wa makanisa ya AICT nchini Mussa Magwesela  amewataka viongozi wa Dini nchini kutumia nyumba za Ibada kutoa Elimu ya kujikinga na maambukizi ya homa ya kirusi cha Ebola, ili utakapoingia nchini kila mtu aweze kujikinga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS