Wananchi watakiwa kushirikiana kuzuia moto

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amewataka wananchi Mkoani Iringa kushirikiana katika kudhibiti matukio ya moto yanayojitokeza kwenye mashamba ya miti binafsi na ya Serikali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS