Mwanafunzi ajiua kwa sumu kisa ujauzito
Janeth Charles (18), mkazi wa Mtaa wa Nyakahangola ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Nyabubele iliyopo Kata ya Kasamwa mkoani Geita amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya panya kwa madai ya kwamba alikuwa mjamzito.