Mrembo Tuerny ajibu kufumwa chumbani na Ruger Picha ya mrembo Tuerny na msanii Ruger Mwanamitandao na msanii wa BongoFleva kwa sasa Tuerny amesema ukaribu wake na msanii Ruger ni walikutana kwa ajili ya kufanya kazi na sio kufumwa chumbani. Read more about Mrembo Tuerny ajibu kufumwa chumbani na Ruger