Magaidi wajisalimisha Msumbiji

Mamlaka nchini  Msumbiji zimesema karibu wanamgambo 90 wa Kiislamu pamoja na mateka wao wamejisalimisha kwa serikali katika kipindi cha miezi miwili iliyopita huko Mocimboa da Praia katika jimbo la Cabo Delgado.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS