Cuf waitaka serikali kusimamia bei ya Korosho Makamu Mwenyekiti CUF Tanzania Bara, Maftaha Nachuma Chama Cha Wananchi CUF kimeitaka serikali kusimamia bei ya zao la korosho ili wanunuzi wanunue korosho za wakulima kwa bei yenye tija. Read more about Cuf waitaka serikali kusimamia bei ya Korosho