AU yafanikisha mazungumzo mgogoro wa Tigray Umoja wa Afrika (AU) umewezesha mazungumzo ya moja kwa moja ya amani kati ya serikali ya Ethiopia na waasi wa Chama cha Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) nchini Afrika Kusini. Read more about AU yafanikisha mazungumzo mgogoro wa Tigray