Yanga ya kanusha kumtimua Kocha Nabi Uongozi wa klabu ya Yanga umekanusha vikali taarifa za kumfuta kazi Kocha wake Mkuu Mtunisia Mohamed Nasreddine Nabi baada ya tetesi kuzagaa kuwa Kocha huyo ameshatimuliwa kazi ndani miamba hiyo ya Jangwani Read more about Yanga ya kanusha kumtimua Kocha Nabi