Wanajeshi 10 wauawa Burkina faso.
Jeshi la Burkina Faso, limesema wanajeshi wake 10 wameuawa baada ya kushambuliwa katika eneo la Djibo, kaskazini mwa nchi hiyo.Jeshi limetaja shambulizi hilo dhidi ya kambi ya kikosi chake cha 14, kuwa tukio la kigaidi. Kambi hiyo imekuwa ikizuiwa na wanamgambo wa kidini kwa miezi mitatu s