TCRA kupambana na matapeli mtandao

Dkt Jabir Bakari-Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Ripoti ya Utendaji wa Kisekta imeonesha ongezeko la asilimia 3.4 kwa laini za simu zinazotumika, ambapo hadi mwezi Juni 2022 kulikuwa na laini Milioni 56.2 idadi iliyoongezeka hadi kufikia laini milioni 58.1 Septemba 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS