Tanzania na DR Congo kujenga Reli ya kisasa
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Pamoja na Rais wa DR Congo Felix Tshishekedi kwa pamoja wameazimia kuondoshwa kwa vikwazo vilivyopo ili kukuza biashara na uwekezaji hususani katika kuboresha miundombinu ya reli na ujenzi wa bandari wakijadili pia uwekezaji katika mawasiliano.