Chanjo za UVIKO 19 zateketezwa India Kampuni ya kutengeneza chanjo ya India Serum Institute of India (SII) imesema ililazimika kutupa dozi milioni 100 za chanjo yao ya Covid-19 baada ya kumaliza muda wake. Read more about Chanjo za UVIKO 19 zateketezwa India