Kesi ya Halima Mdee na wenzake yakwama Mahakamani

Wabunge wa viti maalum wanaopinga kufukuzwa uanachama wao na CHADEMA

Aliyekuwa Makamu mwenyekiri wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Hawa Mwaifunga, ameshindwa kutoa ushahidi wake mahakamani baada ya kuieleza Mahakama kupitia kwa wakili wake kuwa anaumwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS