Mnyukano waanza kugombea uwaziri mkuu Uingereza Wabunge wa conservative wanaotarajia kumrithi Liz Truss kama waziri mkuu wapo mbioni kutafuta ushawishi kutoka kwa wabunge wa chama kabla ya tarehe ya mwisho ya Jumatatu wiki ijayo. Read more about Mnyukano waanza kugombea uwaziri mkuu Uingereza