Serikali yawatoa hofu walaji wa nyama ya Nguruwe
Mtendaji Mkuu wakala ya maabara ya Veterinari Tanzania TVLA Dk.Stella Bitanyi amewatoa hofu walaji wa kitoweo cha Nguruwe (Kitimoto) ambacho kwa siku za hivi karibuni iliibuka hofu kwa walaji kuhisi nyama ya mnyama huyo kuwa na wadudu wenye madhara kwa afya ya binadamu