Rishi Sunak atarajiwa kuwa Waziri Mkuu Uingereza Mgombea wa kiti cha Waziri Mkuu Uingereza Rishi Sunak Nchini Uingereza aliyewahi kuwa waziri wa fedha Rishi Sunak anatajwa kujiandaa kuwa Waziri Mkuu mpya nchini humo baada ya Borris Johnson kujiondoa katika kinyang'anyiro cha nafasi hiyo. Read more about Rishi Sunak atarajiwa kuwa Waziri Mkuu Uingereza