Baba akiri kumchoma mwanaye mikono, ahukumiwa
Mpipi Emmanuel (33), mkazi wa kijiji cha Shahende kata ya Butobela, mkoani Geita amehukumiwa kifungo cha miaka mitano Jela kwa kosa la kumchoma mikono mwanaye Helena Mashaka siku moja kabla ya kuanza mitihani ya Taifa ya darasa la saba na kupelekea mtoto huyo kushindwa kufanya mitihani