RC Rukwa akerwa miradi ya afya kukwama
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga amesema hafurahishwi kuona vituo vya afya vilivyokaa miaka zaidi ya minne havijakamilika na kumtaka Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Tano Mwera na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Shafii Mpenda kujitafakari namna wanavyosimamia miradi ya vituo vya afya