Wananchi wahimizwa kushiriki kwenye utali

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mary Masanja

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mary Masanja amewataka watanzania kuacha kuamini kuwa utalii ni kwa ajili ya wageni pekee, na kuwahimiza kushiriki katika shughuli za utalii ili kuongeza pato la taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS