Yanga kufa kupona kombe la Shirikisho Uongozi wa Yanga umebainisha kuwa kwa sasa akili zote zinaelekezwa kwenye mechi za Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushindwa kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Read more about Yanga kufa kupona kombe la Shirikisho