Waziri Mkuu aliyehudumu kwa siku 45 ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Uingereze aliyejiuzulu Liz Truss,

Waziri Mkuu wa Uingereze Liz Truss amejiuzulu hii leo Oktoba 20, 2022. Truss anakuwa Waziri Mkuu wa kwanza aliyehudumu kwa kipindi kifupi nchini Uingereza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS