Dkt. Tulia azungumzia 50% ya wabunge bungeni
Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson, amesema licha ya kutofikia asilimia 50 ya idadi ya wabunge wanawake bungeni lakini zipo jitihada ambazo serikali imekuwa ikizichukua kuhakikisha mwanamke anapiga hatua kubwa kwenye nafasi za uongozi.