Mafuriko yaathiri mamilioni ya watu nchini Chad Mtawala wa kijeshi nchini Chad , Mahamat Idriss Déby, ametangaza hali ya dharura kutokana na mafuriko mabaya kuathiri zaidi ya watu milioni moja nchini humo. Read more about Mafuriko yaathiri mamilioni ya watu nchini Chad